BY ISAYA BURUGU,9TH SEPT 2023-Kamati ya usalama katika kaunti hii ya Narok imetakiwa kuchunguza biashara ya bangi saw ana pombe haramu inayodaiwa kuendeshwa katika eneo la Kojunga na Ntulele katika kaunti ndogo ya Narok Mashariki kaunti hii ya Narok.

Wito huu umetolewa na mbunge wa eneo bunge la narok Mashariki Ken Aramat ambaye amedai kuwa kwa wakati mwingine gari la maafisa wa usalama ndilo hutuiwa kusafirisha vitu visivyofaa katika eneo hilo.

September 9, 2023