Osotua Live TV ni chaneli yetu ya You Tube, inayokuletea vipindi vya moja kwa moja, pamoja na video za kukupendeza. Video zetu zinajumuisha Taarifa ya habari, michezo, Nyimbo kutoka kwa parokia mbalimbali, Makala tofauti, vipindi vya kukuburudisha na pia kukuelimisha.