BY ISAYA BURUGU 25TH JULY,2023-Hali ya utulivu inaendelea kushuhudiwa kote nchini baada ya Mungano wa Azimio la umoja kutangaza kufutilia mbali  mandamano yaliyokuwa yamepangwa hiyo kesho jumatano.

Hatua hiyo ya kuirishwa kwa mandamano hayo imepongezwa na wakenya watabaka mbali mbali.

Shughuli za kawaiada zinaendelea bila wasiwasi wowote.Uchunguzi uliyofanywa na radio Osotua umebaini kuwa shughuli za kibaishara,uchukuzi na hata masomo zinaendelea kama kawaiada.Viongozi wakidini kaunti ya Kakamega wakiongeza sauti kwenye swala hilo.

 

 

 

 

 

July 25, 2023