Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Nyeri, Mhashamu Anthony Muheria, ameendeleza ukosoaji mkali dhidi ya viongozi wa kisiasa, akitaja matukio ya hivi karibuni ya malumbano ya kisiasa yaliyoshuhudiwa katika hafla za mazishi Magharibi mwa Kenya kama jambo la kusikitisha na lisilofaa.…
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis, ameeleza kwamba hana nia ya kujiuzulu kutoka kwa wadhifa huo, akisema kwamba afya yake inamruhusu kuendelea na majukumu yake. Kauli hii imetolewa kupitia kitabu kipya ambacho dondoo zake zimechapishwa katika gazeti la Italia, Corriere della…
Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, amemteua Luteni Kanali Padre (Monsignor) Mons. John Njue Njeru kama Msimamizi wa Kitume wa idara ya jeshi nchini Kenya. Taarifa ya uteuzi huu ilitangazwa siku ya Jumanne, Januari 30 na Baraza la Maaskofu wa kikatoliki…
Askofu paul Kariuki hii leo amesimikwa rasmi kama askofu wa kwanza wa jimbo jipya la Wote katika uwanja wa shule ya UNOA kule Makueni. Jimbo hili jipya lilimegwa kutoka jimbo la Machakos na likatangazwa kuwa jimbo tarehe 22 mwezi julai mwaka huu.…
Askofu wa Jimbo Katoliki la Ngong, John Oballa Owaa, ametoa wito kwa wanafunzi kuimarisha maisha yao ya sala kama njia ya kukabiliana na changamoto. Askofu alitoa wito huu wakati wa homilia yake kwenye misa ya kusherehekea miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Shule…
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, ametoa hotuba ya kusisimua wakati wa ziara yake nchini Mongolia, akiipongeza nchi hiyo kwa kuhimiza amani na uhuru wa kidini. Papa Francis alipokelewa kwa heshima ya kijeshi, ishara ya ukarimu na heshima ya juu aliyopewa…
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, ametangaza kuanzishwa kwa jimbo jipya katika eneo la Wote, kaunti ya Makueni. Hatua hii ya kihistoria inalenga kuimarisha huduma za kiroho na kuwahudumia waumini katika eneo hilo kwa njia bora zaidi. Tangazo hilo limetolewa na…
Waumini wa kikatoliki katika jimbo Katoliki la Nakuru wamekuwa na siku ya furaha na shangwe, baada ya kutawazwa na kusimikwa kwa Askofu Cleophas Oseso kama askofu mpya wa jimbo hilo. Hafla ya kutawazwa kwa Askofu Oseso iliandaliwa katika uga wa shule ya…