Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, ametoa hotuba ya kusisimua wakati wa ziara yake nchini Mongolia, akiipongeza nchi hiyo kwa kuhimiza amani na uhuru wa kidini. Papa Francis alipokelewa kwa heshima ya kijeshi, ishara ya ukarimu na heshima ya juu aliyopewa…
Mahakama nchini Pakistan imeagiza aliyekuwa waziri mkuu wa zamani Imran Khan kuachiwa kwa dhamana kwa wiki mbili, baada ya kukamatwa kwa madai ya ufisadi, hatua iliyoibua maandamano na ghasia kote nchini humo. Wafuasi wa chama cha Imran Khan cha Tehreek-E-Insaf waliokuwa nje…
Kiongozi wa taifa Rais William Ruto amefanya mazungumzo na rais wa Israel Isaac Herzog nchini Isarel ambapo wawili hao wameafikiana kushirikiana hasa katika ukuzaji wa chakula. Rais Ruto vilevile ameelezea hamu yake ya kushirikiana na taifa hilo kwenye sekta za afya, uchumi…
BY ISAYA BURUGU,4TH MARCH,2023-Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis leo Jumamosi atakutana na waathiriwa wa vita vya wenyewe kwa wenyewe na viongozi wa kidini nchini Sudan Kusini katika siku ya pili ya ziara yake kwenye taifa hilo linalokabiliwa na machafuko. Mkutano…
BY ISAYA BURUGU,28TH FEB,2023-Mgombea wa Urais wa chama tawala nchini Nigeria, Bola Tinubu anaongoza kwa kura katika majimbo 20 kati ya 36 nchini Nigeria.Matokeo hayo ya awali ni kwa mujibu wa matokeo ya awali yaliokusanywa na shirika la habari la la Uingereza…
Zoezi la kuhesabu kura nchini Negeria linaendelea ingawa mashambulizi kadhaa katika baadhi ya sehemu za nchi hiyo yalichelewesha zoezi hilo. Matokeo kutoka vituo mbalimbali vya kupiga kura kote nchini humo yapo katika mchakato wa kujumuishwa, baada ya ucheleweshwaji mkubwa. Polisi nchini humo…
Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis, amewatolea wito wakristu kuliombea taifa la DR Congo, wakati hali ya machafuko ikiendelea kulikumba taifa hilo. Katika waraka wa maombolezi kwa askofu wa kanisa la Church of Christ katika taifa hilo la Congo, Papa Francis…
Idadi kubwa ya wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa imeutolea wito utawala wa Taliban nchini Afghanistan kuondoa mara moja vikwazo vyote Vinavyowakandamiza wasichana na wanawake ikiwa ni pamoja na marufuku ya wanawake kutofanya kazi katika mashirika ya misaada. Taarifa…