Amri yatolewa ya kuwaua wahalifu wowote wanaolenga maafisa wa usalama au kambi za usalama. September 22, 2023
Mahakama ya Mizozo ya Vyama vya Kisiasa yaongeza muda wa agizo la kukizuia chama cha ODM kuwatimua wabunge watano. September 22, 2023
Jeremiah Kioni bado aaminika kuwa Katibu Mkuu halali wa chama cha Jubilee kulingana na utafiti uliofanya na TIFA. September 21, 2023
Wito waendelea kutolewa kwa wakaazi wa Narok kuchukua tahadhari kufuatia ongezeko la ugonjwa wa Kimeta. September 21, 2023
Wakaazi wa Narok waonywa dhidi ya kutokula mizoga ya wanyama kufuatia ongezeko la ugonjwa wa kimeta. September 20, 2023