BY ISAYA BURUGU,18TH FEB,2023-Kinara wa Azimio la umoja Raila Odinga hivi leo amelekeza ujumbe wa kuirai serikali kutekeleza haki kufuatia matokeo ya urais ya uchaguzi uliyopita katika kaunti ya Kisumu.

Odinga anandamana na kati ya wengine,kinara wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka,mwenzake wa Narck Kenya Matha Karua,seneta wa Narok Ledama Ole kina, katibu mkuu wa chama cha Jubilee Jeremiah Kioni  gavana wa zamani wa kakamega Wycliff Opranya kati ya wengine.

Baadhi ya viongozi walioandamana na Odinga wamezidi kuikosoa serikali ya Kenya Kwanza wakidai iko mamlakani kinyume cha sheria.Kilele cha ziara hiyo ni mkutano mkuu katika uwanja wa Kisumu .

 

 

 

 

 

 

 

February 18, 2023