BY ISAYA BURUGU,17TH SEPT,2022-Jamii ya watu wanaoishi na ulemavu katika kaunti ya Taita taveta   inatisha kufanya mandamano wiki ijayo wakati wawakilishi wadi watakapokuwa wakiapishwa kwa kukosa mwakilishi wawatu wenye ulemavu.

Wamesema licha ya kufanya kampeni kwa vyama vikubwa vya kiasiasa  orodha ya walioteuliwa ilikuwa kinyume na matarajio yao.

Sasa wanasema wataelekea maahakamani kudai haki yao.Haya yanajiri huku wawakilishi wadi katika kaunti hiyo wakiatarajiwa kuapishwa jumatano ijayo.

 

September 17, 2022