BY ISAYA BURUGU  2ND DEC 2022-Madereva wametakiwa kuwa wangalifu msimu huu wa krismasi kufuatia ajali mbaya ya barabara katika barabara kuu ya Narok Mahiu mahiu .

Akizungumsa   eneo Narok mashariki naibu kamishana wa eneo hilo Lorenze Kinyua amesema madereva wametakiwa kuwa wangalifu baada ya mtu mmoja kuaga duniakwa kugongwa na gari na katika barabara kuu ya Narok Mahiu mahiu  Kauli yake imeungwa mkono na gavana wa kaunti ya Narok Patrick Ntutu akiwataka wananchi wanaosafari kuwa wangalifu kufuatia ajali za mara kwa mara zinazzoripotiwa msimu wa sherehe za krimasi .

December 2, 2022