BY ISAYA BURUGU 21ST FEB,2023-Mahakama kuu imeairisha utoaji umauzi  kuhusu iwapo au la  faili a kesi dhidi ya mwendesha maagari ya mashindano yaani rali Maxine Wahome itafungwa kwenye kesi inayohusu mauaji ya mpenziwe Assad Khan.

Mwendesha Rally Maxine Wahome katika mahakama ya milimani tarehe 21 mwezi Februari, 2023,  katika kesi dhidi ya mauji ya mpenziwe Assad Khan./Hisani

Mahakama kuu jijini Nairobi  imempa mkurugenzi  mkuu wa mashtaka ya umma  na idara ya upelelezi wa jinai  DCI siku 15 kuwasilisha ripoti  kuhusu jinsi kesi hiyo inapaswa kuendelea.

Uamuzi utatolewa tarehe saba mwezi Machi  kuhusu iwapo faili ya kesi dhidi ya Wahome itafungwa au anapaswa kushtakiwa.

February 21, 2023