BY: BRIGIT AGWENGE,5TH OCT 2022-Kenya inaungana na ulimwengu leokuadhimisha siku ya walimu huku wito ukitolewa kwa  tume ya kuajiri walimu nchini TSC kuorodhesha kaunti nzima ya Narok kama mojawapo ya kaunti zilizo na ugumu kufanyia kazi.Hatua hii itawawezesha  walimu wanaofunza kwenye kaunti ya Narok kupokea marupu rupu.Kwa mjibu wa gavana wa Narok Patrick Ntutu hatua hiyo itachangia pakubwa kuwapa motisha walimu hao.

October 5, 2022