Rais William Ruto amelivunja baraza lake la mawaziri katika mabadiliko ya hivi punde aliyotangaza muda mfupi uliopita. Katika tangazo hilo ambalo halikutarajiwa, kiongozi wa taifa ametangaza kuwatimua mara moja mawaziri wote isipokuwa waziri wa mahusiano ya kigeni Musalia Mudavadi.

Uamuzi huu ulionekana kuwa mgumu kwa rais Ruto ikizingatiwa kuwa baraza lake la mwaziri lilijumuisha wandani wake wa karibu.

Hata hivyo shinikizo kutoka kwa umma kufuatia maandamano ya kuupinga mswada wa afedha wa mwaka 2024 yamemlazimu kufanya mabadiliko haya. Mawaziri waliotimuliwa ni pamoja na;

July 11, 2024

Leave a Comment