BY ISAYA BURUGU,5TH SEPT,2023-Kamishna wa kaunti ya Narok Isaac Masinde  amewaonya wanasiasa walio na mpango wa kuandaa mkutano eneo la Rungu ya Moi mjini Narok kuwa watakabiliwa vikali kisheria.

Kamishna awa huyo akizungumza na wandishi Habari amewashutumu viongozi wakiasiasa walio na mazoea ya kutumia eneo hilo kama jukwa la kupiga siasa  akisema kuwa hatua hiyo imelemaza shughuli za utalii na kutatiza watalii wanaopitia karibu na eneo hilo kuelekea katika mbuga yakitaiafa ya Wanyama ya Masai Mara saw ana wagonjwa wanaopelekwa katika hospitali ya rufaa mjini Narok kwa Matibabu.

Mwanahabari wetu Antony Mintila ana mengi Zaidi.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Share the love
September 5, 2023