BY ISAYA BURUGU 22ND FEB,2023-Waumini wa kanisa katoliki kote duniani hivi leo wameanza kipindi cha siku 40 cha mfungo na maombi.

Kipindi hiki huanza siku ya jumatano ya majivu ambapo waumini haswa wakristu hudhuria ibaada ya misa na kupakwa majivu ili kukumbushwa kuwa wao walitoka mavumbini na watarudi mavumbini.

Katika kipindi hicho kanisa huwaimiza waumini kufunga,kuomba na kujinyima.Huku chakula watakachohifadhi wakishiriki na wasiojiweza katika jamii.

Vilevile wanatakiwa kujiepusha na anasa

.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

February 22, 2023