BY: Brigit Agwenge,

5th Oct 2022,

Huku serikali za kaunti zikitarajiwa kuanza kazi hivi karibuni, waendesha boda boda katika mji wa Narok wametaja baadhi ya masuala ambayo wangetaka yashughulikiwe na serikali ya gavana wa sasa patrick ole Ntutu. Wakizungumza na waandishi wa habari wa idhaa hii Osotua Radio,wanabodaboda hao wameomba serikali ya kaunti kuwapunguzia ushuru wanaotozwa kutokana na ongezeko la bei za bidhaa za petroli humu nchini.

October 5, 2022