BY ISAYA BURUGU,25TH SEPT,2023-Wito umetolewa kwa Wananchi kusaka suluhu ya kudumu kuhusu changamoto za maswala ya ardhi katika kaunti ya Narok.Kamishna wa kaunti hiyo Isaac Masinde kuhakikisha kuwa wanaheshimu sheria na utaratibu ulioko kuhusu na kutojiamulia wenyewe Haswa maeneo ya Narok kusini.Antony Mintila ana kina cha taarifa hiyo.

.

September 25, 2023