Kelvin Kiptum Afariki Katika Ajali

RIP Kelvin Kiptum : Viongozi na Wakenya Waendelea Kumwomboleza Bingwa wa Dunia.

Jumbe za rambirambi zinaendelea kutolewa na viongozi mbalimbali nchini, kufuatia kifo cha ghafla cha mwanariadha Kelvin Kiptum akiwa na umri wa miaka 24. Kiptum alikuwa mshikilizi wa rekodi ya dunia katika mbio za Marathon. Mwanamichezo huyo pamoja na mkufunzi wake kutoka Rwanda…

Mwanasoka wa Ghana Christian Atsu apatikana amefariki chini ya vifusi vya nyumba yake nchini Uturuki

BY ISAYA BURUGU 18TH FEB,2023-Mwanasoka wa Ghana Christian Atsu amepatikana amefariki chini ya vifusi vya nyumba yake nchini Uturuki takriban wiki mbili baada ya tetemeko la ardhi kukumba nchi hiyo na kusababisha majumba mengi kuporomoka. Ajenti wa mchezaji huyo, Murat Uzunmehmet amethibitisha…

Nyumba elfu 10 za bei nafuu kujengwa kaunti ya Narok -Rais Ruto

BY ISAYA BURUGU,30TH JAN,2023-Serikali ya kitaifa inalenga kujenga nyumba elfu 10 za bei nafuu katika kaunti hii ya narok katika mpango wake wa kuwajengea wananchi nyumba za bei nafuu humu nchini. Haya ni kwa mujibu wa Rais william Ruto. Akizungumza alipozuru kaunti…

Wakaazi wa Santos Nchini Brazil wamuaga Pele kabla ya Mazishi yake.

Mji wa pwani wa Brazil wa Santos, ambao gwiji wa michezo Pele alianzia kuchezea na kupata umaarufu wake, umekua ukiendeleza shughuli ya kutoa heshima zake za mwisho siku ya leo kwa shughuli inayotarajiwa kuendelea kwa kipindi cha saa 24. Gwiji huyo wa…

Brazili yaanza siku tatu za maombolezo, Pele kuzikwa Santos

BY ISAYA BURUGU  30TH DEC,2022-Uwanja ambao nguli wa soka wa Brazil Pelé alicheza baadhi ya mechi bora zaidi za maisha yake pia utaruhusu watu kutoa salamu zao za mwisho siku ya Jumatatu na Jumanne. Santos, klabu ambayo Pelé alicheza huko Brazil, ilisema…

Rais wa FIFA Gianni Infantino akemea ukosoaji unaoelekezwa kwa Taifa la Qatar.

Rais wa shirikisho la kandanda duniani FIFA Gianni Infantino, amejibu ukosoaji unaotolewa kwa Qatar kuhusu madai ya ukiukwaji haki za binaadam akisema huu ni unafiki wa mataifa ya Magharibi. Infantino ameyasema hayo siku moja kabla ya ufunguzi wa mashindano ya Kombe la…