BY ISAYA BURUGU ,30TH NOV 2022Gavana wa kaunti ya Narok Patrick Ntuntu ameitaka serikali kuangazia upya utaratibu wa kuwajiri walimu ili walimu kutoka kaunti hii waliopata mafuzno na kuvuzu pia waweze kupata ajira. Serikali ya Kenya Kwanza imepanga kuwajiri walimu alfu 30 huku walimu alfu kumi wakitarajiwa kuajiriwa kwa awamu kila mwaka.

Kwa mjibu wa gavana huyo mchakato wa kuwajiri walimu umekosa usawa na kuingizwa mapendeleo hali ambayo imewanyima walimu waliofuzu kutoka kaunti hii fursa za ajira.

Mwanahabari wetu Antony Mintila ana mengi Zaidi.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

November 30, 2022