BY ISAYA BURUGU 29TH NOV 2022-Huku shule zikiwa zimefungwa kwa likizo ya mwezi Disemba ,wakaazi wa kaunti ya Narok wametakiwa kuwa mstari wa mbele kukomesha tatizo la ukeketaji na mimba za mapema.Naibu kamishana wa Narok kusini Felix Kisalu amesema serikali iko macho kuwakabili wanaoeneza tamaduni hizo akisisitiza kuwa wakati huu wa likizo ndefu maafisa wa polisi wamejipanga kufuatilia visa hivyo .Antony Mintila ana mengi.

November 29, 2022