BY ISAYA BURUGU ,30TH NOV,2022-Changamoto mbali mbali za kiuchumi zimetajwa kama sababu kuu zinazopelekea ongezeko la visa vya mimba za mapema miongoni mwa wanafunzi wakike kaunti ya Narok. Kwa mjibu wa mwakilishi wadi  wa la ololulunga  Dominick Songoi Lemein  ni kwamba umaskini unaopelekea wanafunzi hao kukosa namna ya kusafiri hadi shuleni na kuomba msaada kutoka kwa watu wasio wafahamu vyema  Pamoja na umiliki wa simu ni baadhi ya sababu hizo.Norah Mosonik ana mengi Zaidi.

Share the love
November 30, 2022

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

%d bloggers like this: