Kesi ya ufisadi na utumizi mbaya wa mali ya umma dhidi ya aliyekuwa gavana wa Nairobi Miko Sonko imefutwa mahakamani kwa ukosefu wa idhibati.

Hakimu Mkuu wa Mahakama ya Kupambana na Ufisadi Douglas Ogoti ameamuru kudondoshwa kwa kesi hiyo ya ufujaji wa shilingi milioni 20, akiitaja kama iliyokosa msingi na kuend akinyume na Ushahidi uliowasilishwa.

Sonko na wakili wake, wamesema kuwa kesi hii ilikua imechochewa kisiasa wakitaja hili kama chanzo kikuu cha kuanguka kwa kesi yenywe.

December 21, 2022