BY ISAYA BURUGU 22ND NOV 2022-Huku mitihani ya kitaifa ikiratibiwa kuanza kote nchini katika muda wa wiki moja ijayo shule ziko kwenye harakati za mwisho mwisho kujiandaa kwa kipindi hicho cha mitihani.

Shule ya upili ya wasichana ya Kilgoris haijaachwa nyuma katika mandalizi hayo.

Mwalimu mkuu wa shule hiyo Mary Chirchir amedokeza kuwa wamewandaa vyakutosha watainiwa 102 wa shule hiyo.Pia  amesema kuwa hapajakuwa na kisa chochote cha watainiwa kuwa wajawazito isipokuwa wawili walioifunga mapea mwaka huu na kurejea shuleni.Antony Mintila ana ripoti hiyo kwa kina.

November 22, 2022