BY ISAYA BURUGU 28TH JAN,2023-Prof. Richard Alex Nyabera Magoha, kakake mdogo marehemu aliyekuwa Waziri wa elimu   Prof. George Magoha, anazikwa leo  nyumbani kwkae huko Gem kaunti ya Siaya.

Mwili wake uliondoka katika chumba cha kuhifadhia maiti cha lee  jijini Kisumu  leo asubuhi  kwa ibaada ya kumbukumbu katika shule ya msingi ya Twonship huko yala.Jamaa,familia na marafiki kisha wataelekea  nyumbani kwa marehemu  huko Umiru kaunti ndogo ya Gem kaunti ya Siaya.

Prof. Richard Nyabera Magoha, alifariki dunia  tarehe 6 mwezi Disemba mwaka jana  huko  Allen, Texas, ncini marekani  huku sababu ya kifo chake ikiwa haijabainika na familia.

Hizi hapa picha za mwili kutoka chuma cha lee Kisumu:

 

 

January 28, 2023