BY ISAYA BURUGU 12TH DEC 2022-Rais Wiliam Ruto hivi leo ameliongoza  taifa kuadhimisha siku kuu ya jamhuri ya 59.Sherehe hizo zimendaliwa katika uwanja wa Nyayo jijini Nairobi.Kilele cha sherehe hizo ni hotuba ya rais kwa taifa.Wannachi wanasubiri kusikia  hatuba hiyo yar ais Kuhusu maswala mbali mbali yakiwemo gharama ya juu ya kimaisha,umoja na mshikamano wan chi haswa kufuatia uchaguzi wa Agosti uliyosheheni ushindani mkali ,swala la usalam atete eneo la rift valley kaunti za Baringo na Elgeyio Marakweti kati ya nyingine.

Wakati huo huo tamasha mbali mbali la burudani limesheheni katika maadhimisho ya 59 ya hserehe za Jamhuri yaliyongozwa na rais Wiliam Ruto.Ndege tofauti za kijeshi zimepita mbele ya jukwa alikoketi rais na viongozi wengine wa ngazi za juu serikalini na wageni waalikwa kam ailivyo kawaida ya  maadhimisho kama hayo.Ndege hizo hazionyeshi tu mbwe,mbwe za aina yake bali huashiria pia kujiandaa kwa vikosi vya ulinzi vya kenya kukabiliana na adui.Kando na ndege kumekuwa pia na nyimbo za kusifu mungu na wanadesni wa kitamaduni .

December 12, 2022