BY ISAYA BURUGU,18TH AUG 2023-Rais William Ruto amemtetea balozi wa Marekani Meg Whitman baada ya kiongozi wa Azimio Raila Odinga kusema anafaa kuachana na masuala ya Kenya.

Raila mnamo Alhamisi alimtaja Whitman kama balozi tapeli.Ruto hata hivyo hivi  leo  amesema  upinzani unapaswa kujiheshimu kwani wanadai hivyo kutoka kwa wengine. Alisema ni wananchi kuamua nani mhuni wa upinzani au balozi

. Kiongozi wa Azimio Raila Odinga Alhamisi alimjibu Balozi wa Marekani Meg Whitman kuhusu matamshi yake kuhusu uchaguzi wa Agosti 2022.Raila alisema Whitman anafaa kuachana na masuala ya Kenya.Alisema Kenya si koloni la Marekani na inafaa kuachwa ishughulikie masuala yake ya ndani. “Mwambie balozi mbovu Kenya si Marekani.

 

 

 

 

Share the love
August 18, 2023