BY ISAYA BURUGU,09,NOV2022-Waziri wa elimu  Ezekiel Machogu hivi leo amefanya mkutano na  viongozi wa tume ya kuwaajiri ywalimu nchini TSC.

Katika mkutano huo uliyoandaliwa katika afisi ya Waziri jumba la jogoo jijini Nairobi,maswala mengi yanayohusu  elimu bora kwa wanafuzni nchini yamejadiliwa.

Waziri ameitaka tume hiyo kuhakikisha kuwa walimu wanapitishiwa mafunzo ya mara kwa mara  na pia iwe sehemu mandalizi na usimamizi wa mitihani ya kitaifa  inayotarajiwa kuanza  mwezi huu.

 

November 9, 2022