BY ISAYA BURUGU,1ST DEC,2022-Askofu wa jimbo la Eldoret Dominic Kimengich ameitaka serikali kwanza kununua mahindi kutoka kwa wakulima humu nchini kabla ya kuagiza mahidi kutoka nje ya nchi.Kwa mjibu wa askofu Kimengich ni kwamba,wakulima katika sehemu zinazokuza mahindi kwa wingi humu nchini haswa kaunti za magharibi mwa nchi na kaunti ya Uasin Gishu wakulima wamevuna mahindi kwa wingi n ani swala la kushangaza kusikia kuwa serikali ilikuwa na mipango ya kuagiza mahindi .

Aidha askofu huyo ameitaka  serikali  kufanya uchunguzi wakimatibbau kabla ya kuingiza nchi vyakula vya kisaki yaano GMO akisem akuwa malalamishi kutoka pande mbali mbali dhidi ya vyakula hivyo si ya bure na hayapaswi kucuhukuliwa kwa wepesi.

 

 

 

 

 

December 1, 2022