SIKU YA MTOTO WA AFRIKA | Mahojiano Kuhusu Siku ya Mtoto wa Afrika – Part 2

Kila siku ya tarehe 16 mwezi Juni kuanzia mwaka wa 1991, ulimwengu huungana katika kuiadhimisha siku ya mtoto wa afrika. Katika maadhimisho ya siku hii, masuala mbalimbali yanayoathiri Maisha ya mamilioni ya Watoto katika bara la afrika hujadiliwa na uhamasisho kutolewa. Mwaka…

SIKU YA MTOTO WA AFRIKA | Mahojiano Kuhusu Siku ya Mtoto wa Afrika – Part 1

Kila siku ya tarehe 16 mwezi Juni kuanzia mwaka wa 1991, ulimwengu huungana katika kuiadhimisha siku ya mtoto wa afrika. Katika maadhimisho ya siku hii, masuala mbalimbali yanayoathiri Maisha ya mamilioni ya Watoto katika bara la afrika hujadiliwa na uhamasisho kutolewa. Mwaka…

SIKU YA MTOTO WA AFRIKA | Vizuizi vya Haki ya Kupata Elimu Mtoto wa Afrika.

Je Ni nini haswa kinawazuia watoto wote wa Kaunti ya Narok na taifa la Kenya, na katika Bara la Afrika kupata elimu?

EPISODE 6 | CHIMBUKO LA TAMADUNI – MCHAKATO WA KUANZISHA FAMILIA KATIKA JAMII YA ABAGUSII. (Part 2)

Baada ya wazazi kuwaunganisha mvulana na msichana wanaopaswa kuoana na kuhakikisha kwamba wamejuana, wazee kutoka upande wa mvulana walianza mchakato wa kuelekea katika aila ya binti anayeozwa ili kujitambulisha rasmi na kuanza mazungumzo ya kuunganisha familia hizi mbili. Shughuli hii ilikuwa mwanzo…

EPISODE 5 | CHIMBUKO LA TAMADUNI – MCHAKATO WA KUANZISHA FAMILIA KATIKA JAMII YA ABAGUSII. (Part 1)

Katika jamii ya Abagusii, mwongozo wa tamaduni ulielekeza kwamba wazazi walikua na jukumu la kumtafuta mchumba kwa mwana wao. Wazazi wa mvulana hivyo basi walianza jukumu hili punde tu walipohisi kwamba mwana wao amefikia umri wa kuoa. Kwa mujibu wa mmoja wa…

EPISODE 4 | CHIMBUKO LA TAMADUNI – TAMADUNI YA TOHARA KATIKA JAMII YA ABAGUSII. – PODCAST

Katika jamii yoyote ile humu nchini, kulikua na mfumo maalum, uliotumiwa kama ishara kwamba mwanajamii amevuka katika daraja la utu uzima na kuacha kufanya mambo ya kitoto. Katika jamii ya Abagusii, daraja hili lilitiwa chapa kwa kupitia tohara iliyotekelezwa kwa wanajamii wote…

EPISODE 3 | CHIMBUKO LA TAMADUNI – MALEZI YA WATOTO KATIKA JAMII YA ABAGUSII. – PODCAST

Mama mjamzito alijifungua nyumbani kwa msaada wa wakunga ambao mara kwa mara walikua kina Nyanya. Katika miaka ya kale, mfumo wa elimu unaotambuliwa na kuzingatiwa kwa sasa haukuwako, hivyo basi watoto walipata mafunzo yao moja kwa moja kutoka kwa wanajamii wengine, kwa…

EPISODE 2 | CHIMBUKO LA TAMADUNI – MUUNDO WA FAMILIA YA ABAGUSII. – PODCAST

Mwongozo wa desturi za Abagusii uliheshimu sana familia kama kituo cha muhimu Zaidi katika jamii, huku wanaume wakiwa na uwezo wa kuoa Zaidi ya mke mmoja. Kutokana na kiwango kikubwa cha heshima kati ya wanaume na wanawake, mke wa kwanza alikuwa na…