Papa Francis ainua Vikariate ya Isiolo kuwa Jimbo.

Kanisa katoliki nchini lmepata jimbo mpya hivi leo, na hii ni baada ya Kiongozi wa kanisa katoliki nchini Papa Francis kuinua hadhi ya Vikariate (Vicarate) ya Kitume ya Isiolo kuwa jimbo katoliki la Isiolo. Katika tangazo lililochapishwa kwenye mtandao wa kikatoliki wa…

Papa Francis amteua padre Cleophas Oseso kama Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Nakuru.

Papa Mtakatifu Francisko amemteua padre Cleophas Oseso Tuka, kama Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Nakuru. Taarifa za Uteuzi wa padre Oseso zilichapishwa rasmi katika gazeti la Vatican la L’Osservatore Romano mnamo tarehe 15 Februari 2023 saa 12.00 adhuhuri kwa saa za…

Bishop John Oballa Owaa

Askofu Oballa arai wanafunzi kujiepusha na mahusiano ya jinsia Moja.

Askofu wa Jimbo katoliki la Ngong John Oballa Owaa, amewarai wanafunzi katika shule za upili, kujiepusha na mienendo ya ulimwengu wa sasa, inayowaelekeza katika mambo yanayomchukiza mwenyezi Mungu, na hasa mahusiano ya jinsia moja. Katika tafakari yake kwenye hafla ya kubariki Mnara…

Jimbo katoliki la kitale lapata askofu mpya baada ya kusimikwa kwa padre Henry Juma Odonya.

Jimbo katoliki la kitale limepata askofu mpya baada ya kusimikwa kwa padre Henry Juma Odonya kama askofu wa jimbo hilo. Askofu Odonya, aliteuliwa kwenye wadhfa huo na papa Francis mwezi Novemba mwaka jana baada ya kustaafu kwa askofu wa jimbo hilo Maurice…

Papa Francis arai waumini kuliombea taifa la DRC.

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis, amewatolea wito wakristu kuliombea taifa la DR Congo, wakati hali ya machafuko ikiendelea kulikumba taifa hilo. Katika waraka wa maombolezi kwa askofu wa kanisa la Church of Christ katika taifa hilo la Congo, Papa Francis…

Pope Francis amzika Pope Benedict XVI

Papa Francis aongoza misa ya mazishi ya Papa Benedict XVI.

Kiongozi wa kanisa Katoliki Papa Francis mchana wa leo ameongoza misa ya ibada ya mazishi ya mtangulizi wake Papa Benedict XVI mjini Vatican. Papa Francis ametoa mahubiri katika Misa hiyo ambayo imehudhuriwa na takriban makadinali 120, maaskofu 400 na Zaidi ya mapadre…

Maelfu wajitokeza kumuaga Papa Mstaafu Benedict XVI mjini Vatican.

Maelfu ya waumini wa dini ya kikatoliki mjini Vatican wamejitokeza kwa wingi katika Basilica ya Mt. Petro kuanzia asubuhi ya leo, ili kutoa heshima zao za mwisho kwa papa mstaafu Benedict XVI, aliyeaga dunia siku ya Jumamosi. Mwili wa papa huyo ulikuwa…

TAANZIA: Papa Mstaafu Benedict XVI ameaga dunia!

TAANZIA! Papa mstaafu Benedict XVI ameaga dunia. Taarifa kutoka katika Makao makuu ya Kanisa Katoliki duniani, Vatican zimedhibitisha kuwa papa Mstaafu Benedict XVI aliaga dunia mwendo wa saa tatu asubuhi ya leo katika makaazi yake kwenye Monasteri ya Mater Ecclesiae kule Vatican…