KIPINDI CHA MAAJILIO

BY JOHN MSAFIRI TUMSIFU YESU KRISTO! Majilio ni nini? Majilio ni kipindi cha Dominika nne cha kujiandaa na Sherehe ya Kuzaliwa Bwana wetu Yesu Kristo, yaani NOELI. Kinawakilisha karne zote za Agano la Kale Katika mwaka wa liturujia ya Kanisa katoliki la…

Papa Francis

Papa Francis apeleka ujumbe wa kuhimiza majadiliano Bahrain.

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis, anapeleka ujumbe wake wa “uwepo wa majadiliano” kwa ulimwengu wa kiislamu nchini Bahrain, ambako serikali hiyo inayoongozwa na madhehebu ya wasuni imeandaa mkutano wa kidini unaohimiza utangamano kati ya mataifa ya Mashariki na Magharibi, licha…

ALL SAINTS DAY

SIKUKUU YA WATAKATIFU WOTE

By John Msafiri Watakatifu ni nani ? Ni watu waliomtumikia Mungu kwa uaminifu mkubwa hapa duniani,na ambao Mungu anawatunza kwa furaha huko mbinguni. Ushuhuda wao haukuwa wa maneno matupu bali kwa kumwaga damu yao,ndiyo kutoa maisha yao. Kanisa limeendelea kuamini kwanza kuna…

Kanisa Katoliki lahimiza Wakenya Kuungana kuwasaidia Waathirwa wa Ukame.

Na huku Wakenya wakiendelea kukabiliwa na hali ngumu ya kiuchumi na ukame ambao umetawala kwa muda sasa kutokana na ukosefu wa mvua, maaskofu wa kanisa katoliki wametoa wito  kwa wakenya kushirikiana na kuonyesha ubinadamu kati yao kwa kutoa chakula na msaada wa…