Magavana wamekongamana katika eneo la Naivasha kaunti ya Naruku ili kupanga mikakati ya miaka mitano ijayo sawa na kujadili masuala ya bajeti na madeni.

Mwenyekiti wa baraza la magavana na ambaye pia ni Gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru amesema kuwa ni wajibu wa magavana kuelewa kikamilifu changamoto na fursa zilizopo ili kutekeleza wajibu wao kwa wananchi wote kama serikali za kaunti.

October 12, 2022