BY ISAYA BURUGU ,27TH  DEC 2022- Waumini wametakiwa kuwa na upendo na kuonyesha upendo huo kwa wasiobahatika katika jamii katika kipindi hilki cha shere za krimaisi na mwaka mpya.

Wito huo umetolewa na mshirikishi wa maswala ya kichungaji kwenye jimbo katoliki la ngong padri Bonface Mukwe.Akizungumza na idhaa hii ya radio Osotua padri Mukwe amesema pia katika moyo wa krimasi ni bora kusamehana kwa waliokwazana kw ania moja au nyingine .

Ujumbe wkae ukiwaendea sana  wana ndao na wana familia.Padri Mukwe akitoa wito wakipekee kwa wasiobahatika katika familia na miongoni mwetu kuonyeshwa upendo  kwa kushiriki Pamoja nao chochote tulicho nacho.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

December 27, 2022