Polisi katika eneo la Sogoo Narok Kusini wanamtafuta mwanamume mmoja anayedaiwa kumua mkewe na kisha kuteketeza nyumba yao kabla ya kutoroka. Kwa mujibu wa polisi ni kwamba mshukiwa Zachary Silatei alitekeleza maovu hayo usiku wa manane huku wakifichua kuwa maafisa wa DCI walifanikiwa kupata kifaa kilichotumika kumua marehemu Judith Silatei.

November 2, 2022