Maeneo ya Nairobi, Pwani na Mlima Kenya yalishuhudia hitilafu ya umeme mapema hii leo hali iliyotatiza shuguli zinazotegemea umeme katika maeneo mengi nchini. Kupitia taarifa, kampuni ya Kenya power ilisema kuwa hitilafu hiyo ilisababishwa na kutatizika kwa mitambo inayosambaza umeme.

Aidha Kenya power imetoa taarifa nyingine kuwajulisha wakenya kuwa tatizo hilo limetatuliwa.

November 2, 2022