Kinara wa muungano wa Azimio raila Odinga ameandaa kikao cha magavana wa muungano huo kutwa ya leo eneo la Naivasha katika kaunti ya Nakuru.

Muungano huo uliandaa kikao hicho ili kuzungumzia maswala yanayowasibu katika muungano huo, kukiwa na wasiwasi huenda kukashuhudiwa mgawanyiko katika muungano huo.

Odinga pamoja na vinara wenza katika muungano huo wakiwemo Martha Karua na Kalonzo musyoka, wameahidi kuendelea kupigania haki ya wakenya bila kuchoka, na pia kuendelea kuwahudumia wananchi katika kaunti mbalimbali nchini.

Share the love
November 25, 2022

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

%d bloggers like this: