This morning I held a meeting with the Narok County Commissioner at his offices. We are aware of the ongoing drought crisis in the country brought about by tough and changing climate conditions. Unfortunately, as a county, this challenge is with us. pic.twitter.com/u7aeMtfvZz
— Governor Patrick Ole Ntutu (@OleNtutuK) October 11, 2022
Akiwahutubia waandishi wa habari nje ya Ofisi yake kamishena Isaac Masinde amesema zaidi ya shule 130 katika kaunti ya Narok zinahitaji msaada wa chakula kutokana na makali ya njaa. Masinde amesema kuwa serikali kwa ushirikiano na mashirika yasiyo ya kiserikali wanafanya juhudi za pamoja ili kuhakikisha kuwa wamesamabaza chakula cha msaada kwa maeneo yaliyoathirika.
We are seized with the situation and at the moment we are laying down strategies to mitigate. As such, today’s meeting was to set the stage for critical intervention measures that we are deploying. pic.twitter.com/UOQpvTCSTF
— Governor Patrick Ole Ntutu (@OleNtutuK) October 11, 2022
Gavana Ntutukwa upande wake amesema kuwa sehemu zilizokabwa zaidi na njaa ni maeneo ya Mosiro Narok mashariki, Narosura, maji moto, eneo la Loita, Naikara, kapsasian eneo la Ilkeren Trasmara magharibi pamoja na eneobunge la Emurua Dikirr. Ntutu amesema serikali ya kaunti ya Narok itashirikiana na ile ya kitaifa kuhakikisha kuwa misaada mbali mbali imewafikia wakazi wa maeneo haya.
Taarifa zaidi
Wabunge wapata afueni kuhusu NG-CDF.
Wabunge wamepata afueni baada ya Mahakama ya Rufaa kubatilisha uamuzi uliotolewa na mahakama kuu mnamo Septemba 20, 2024…
- 6 Feb 2026
- Post By Brigit Agwenge
Papa ateua askofu mkuu msaidizi wa jimbo kuu la Mombasa.
Papa Leo wa XIV amemteua askofu Dominic Kimengich wa jimbo katoliki la Eldoret, kama askofu mkuu msaidizi wa…
- 28 Jan 2026
- Post By Brigit Agwenge
Rais William Ruto aagiza wanafunzi wote kuripoti shuleni kesho.
Rais William Ruto ameagiza wanafunzi wote kuripoti shuleni kuanzia Ijumaa, licha ya vikwazo vyao vya kifedha au ukosefu…
- 22 Jan 2026
- Post By Brigit Agwenge

