Waziri wa elimu Ezekiel Machogu ameeleza kuwa zaidi ya wanafunzi laki moja tayari wametuma maombi yao wakitafuta fedha za ufadhili wa masomo pamoja na HELB kufikia jana tarehe 5.

Machogu hata hivyo amesema kuwa asilimia 40 ya wanafunzi kati ya 265,000 bado hawajatuma maombi yao.Zoezi hilo la kutuma maombi litafungwa rasmi tarehe 7 mwezi ujao.

September 7, 2023