Matokeo ya awali ya uchaguzi mkuu Nigeria yaonyesha Bola Tinubu anaongoza

BY ISAYA BURUGU,28TH FEB,2023-Mgombea wa Urais wa chama tawala nchini Nigeria, Bola Tinubu anaongoza kwa kura katika majimbo 20 kati ya 36 nchini Nigeria.Matokeo hayo ya awali ni kwa mujibu wa matokeo ya awali yaliokusanywa na shirika la habari la la Uingereza…

Zoezi la kuhesabu kura nchini Nigeria laendelea kwa siku ya pili.

Zoezi la kuhesabu kura nchini Negeria linaendelea ingawa mashambulizi kadhaa katika baadhi ya sehemu za nchi hiyo yalichelewesha zoezi hilo. Matokeo kutoka vituo mbalimbali vya kupiga kura kote nchini humo yapo katika mchakato wa kujumuishwa, baada ya ucheleweshwaji mkubwa. Polisi nchini humo…

Papa Francis arai waumini kuliombea taifa la DRC.

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis, amewatolea wito wakristu kuliombea taifa la DR Congo, wakati hali ya machafuko ikiendelea kulikumba taifa hilo. Katika waraka wa maombolezi kwa askofu wa kanisa la Church of Christ katika taifa hilo la Congo, Papa Francis…

Taliban yaombwa kuondoa vikwazo vinayvokandamiza wanawake.

Idadi kubwa ya wajumbe wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa imeutolea wito utawala wa Taliban nchini Afghanistan kuondoa mara moja vikwazo vyote Vinavyowakandamiza wasichana na wanawake ikiwa ni pamoja na marufuku ya wanawake kutofanya kazi katika mashirika ya misaada. Taarifa…

Mataifa ya Ulaya yaunga mkono hatua ya kusitishwa kwa mapigano nchini Ethiopia.

Mawaziri wa mambo ya kigeni wa Ufaransa na Ujerumani wako mjini Addis Ababa kwa lengo la kuunga mkono makubaliano ya amani yaliyotiwa saini mwaka jana kumaliza miaka miwili ya vita vikali. Ziara ya Catherine Colonna wa Ufaransa na Annalena Baerbock na Ujerumani…

Uganda yatangaza kikomo cha virusi vya ebola.

Uganda imetangaza kuwa virusi vya ebola vilivyoibuka karibu miezi minne iliyopita na kuua watu 55 vimeisha nchini humo,tangazo ambalo limeungwa mkono na shirika la afya duniani WHO. Kwa mujibu wa wawziri wa afya nchini humo Jane Aceng ni kwamba Januari 11 iliadhimisha…

Watu kadhaa watekwa nyara katika shambulizi la kituo cha treni Nigeria.

Watu kadhaa wamejeruhiwa na wengine kutekwa nyara katika shambulizi lililofanyika katika kituo cha treni nchini Nigeria. Kulingana na polisi, watu waliokuwa wamejihami kwa bunduki waliwavamia abiria waliokuwa wakisubiri treni huku juhudi za kuwasaka waliotekwa nyara zikiendelea. Vyombo vya habari vya Nigeria vimeripoti…

Hatimaye McCarthy achaguliwa Spika wa bunge la Marekani.

Kiongozi wa chama cha Republican Kevin McCarthy amechaguliwa kuwa spika wa Baraza la Wawakilishi la Bunge la Marekani katika jaribio la kihistoria la 15, baada ya siku kadhaa za duru za upigaji kura kushindwa kufanikiwa. Warepublican walishangilia wakati ushindi wake ulipotangazwa huku…