BY ISAYA BURUGU,2ND MARCH 2023-Hatua ya wazazi kujitahidi kuwarejesha Watoto wao shulleni katika lokesheni ya Poroko huko Transmara Narok magharibi imeshabikiwa na utawala eneo hilo.Chifu wa Poroko Susan Saning’o amesema kwa sasa hali hiyo imepelekea mpango wa serikali kuhakikisha kuwa Watoto wanajiunga na shule kwa asilimia mia kwa mia kupigwa jeki Pakubwa.Moses Kanchorri anaripoti kutoka Transmara.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

March 2, 2023