BY ISAYA BURUGU,2ND NOV,2023-Kizazaa kimeshuhudiwa leo katika kituo cha magari mjini Nyeri baada ya nyuki kuvamia matatu ya sacco moja kwenye kituo hicho.

Ni hali iliyozua wasiwasi miongoni mwa abiria waliokuwa wameabiri gari hilo wakiwa tayari kuanza safari yao.

Iliwabidi kushuka kutoka kwenye gari hilo na kusaka gari lingine huku wasiwasi ukitanda kwenye katika kituo hicho cha matatu.

.

November 2, 2023