Aliyekuwa naibu mwenyekiti wa chama cha UDA Seth Panyako, ameachia ngazi na kujiuzulu kutoka kwa wadhifa wake katika chama hicho.

Hatua hiyo ya kujiuzulu imekujia kufuatia tofauti za misimamo ya chama na msimamo wake binafsi, huku yeye akipinga pendekezo la malipo ya asilimia 3 kwa ujenzi wa nyumba za bei nafuu liliyo katika mswada wa fedha pamoja na gharama ya juu ya maisha.

May 27, 2023