BY ISAYA BURUGU,02,NOV,2022-Waziri wa kilimo kaunti ya Narok Joyce Keshe amesema bei ya mifugo imesalia ya kawaiada katika kaunti ya Narok licha ya kiangazi kikali kinachoshuhudiwa katika kaunti hii saw anna kaunti zingiine ncihini.

Keshe amesema kwa sasa Ng,ombe anauzwa kwa zaidi elfu 20 hadi elfu 30 kinyume na ilivyo katika kaunti ya Kajiado  ambapo  wafugaji  wamewaza Ngombe kwa bei ya shilingi ya mia tano .

keshe akizungumza na wandishi Habari afisini mwake,amesema serikali imeweka mikakati itakayowezesha kununua  mifugo kutoka kwa wafugaji kwa bei  nafuu kaunti ya Narok .

November 2, 2022