This morning I held a meeting with the Narok County Commissioner at his offices. We are aware of the ongoing drought crisis in the country brought about by tough and changing climate conditions. Unfortunately, as a county, this challenge is with us. pic.twitter.com/u7aeMtfvZz
— Governor Patrick Ole Ntutu (@OleNtutuK) October 11, 2022
Akiwahutubia waandishi wa habari nje ya Ofisi yake kamishena Isaac Masinde amesema zaidi ya shule 130 katika kaunti ya Narok zinahitaji msaada wa chakula kutokana na makali ya njaa. Masinde amesema kuwa serikali kwa ushirikiano na mashirika yasiyo ya kiserikali wanafanya juhudi za pamoja ili kuhakikisha kuwa wamesamabaza chakula cha msaada kwa maeneo yaliyoathirika.
We are seized with the situation and at the moment we are laying down strategies to mitigate. As such, today’s meeting was to set the stage for critical intervention measures that we are deploying. pic.twitter.com/UOQpvTCSTF
— Governor Patrick Ole Ntutu (@OleNtutuK) October 11, 2022
Gavana Ntutukwa upande wake amesema kuwa sehemu zilizokabwa zaidi na njaa ni maeneo ya Mosiro Narok mashariki, Narosura, maji moto, eneo la Loita, Naikara, kapsasian eneo la Ilkeren Trasmara magharibi pamoja na eneobunge la Emurua Dikirr. Ntutu amesema serikali ya kaunti ya Narok itashirikiana na ile ya kitaifa kuhakikisha kuwa misaada mbali mbali imewafikia wakazi wa maeneo haya.
Taarifa zaidi
Kamati ya Makazi ya Bunge Yaanza Ziara ya Kukagua Miradi Bonde la Ufa
Wanachama wa Kamati ya Bunge ya Makazi, Mipango ya Miji na Kazi za Umma wataanza ziara ya siku…
- 27 Aug 2025
- Post By John Waicua
Mifumo ya SHA yatiliwa doa kufuatia kufutwa kwa tovuti ya usajili.
Chama cha Wafanyakazi (COTU-K) kimetaka Mamlaka ya Afya ya Kijamii SHA ipewe uhuru kamili wa mifumo yake. Katika…
- 26 Aug 2025
- Post By Brigit Agwenge
Taarifa kinzani yatolewa kuajiriwa kwa wahudumu wa UHC.
Baraza la magavana limetoa taarifa kinzani kuhusu tangazo la wizara ya afya kwamba wahudumu wa afya chini ya…
- 26 Aug 2025
- Post By Brigit Agwenge