TAHADHARI YA MAFURIKO: Waziri Ngeno Awataka Wakazi wa Narok Kuwa Macho
Serikali ya Kaunti ya Narok imewataka wakazi kuwa waangalifu kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha, ambayo imeongeza hatari ya mafuriko na maporomoko…
Browse the latest updates, stories and announcements from Radio Osotua.
Serikali ya Kaunti ya Narok imewataka wakazi kuwa waangalifu kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha, ambayo imeongeza hatari ya mafuriko na maporomoko…
Msemaji wa serikali nchini Dr Isaac Mwaura amesema serikali imejenga zaidi ya masoko elfu moja ya kisasa kote nchini. Akizungumza alipokuwa akikagua mradi…
Serikali kupitia Bodi ya Uhifadhi wa Nafaka nchini (NCPB) imetangaza kuanza kununua ngano kutoka kwa wakulima wa Kaunti ya Narok kuanzia leo.…
Abiria waliokuwa wakisafiri kati ya Narok na Mai Mahiu walilazimika kukesha barabarani usiku wa kuamkia leo, baada ya wafugaji kufunga barabara hiyo…
Maambukizi ya virusi vya Ukimwi yamepungua kutoka asilimia 5.6 hadi asilimia 1.8 katika Kaunti ya Narok katika kipindi cha miaka 20 iliyopita.…