Emurua Dikirr Yafanya Maamuzi.
Zoezi la upigaji kura liliandaliwa leo katika eneo la Emurua Dikkir ambapo wakaazi wamejitokeza kwa wingi kushiriki zoezi hilo ili kuchagua mbunge…
Browse the latest updates, stories and announcements from Radio Osotua.
Zoezi la upigaji kura liliandaliwa leo katika eneo la Emurua Dikkir ambapo wakaazi wamejitokeza kwa wingi kushiriki zoezi hilo ili kuchagua mbunge…
Mwanaume mmoja wa umri wa makamo ameuawa kwa kupigwa risasi na afisa wa polisi katika Kituo cha Polisi cha Sakutiek, Narok Kaskazini,…
Rais William Ruto amempongeza David Keter, anayejulikana pia kama Dollarline, kwa kushinda uteuzi wa chama cha United Democratic Alliance (UDA) katika eneobunge…
Wahudumu wa boda boda na teksi mjini Narok wameitaka serikali kuingilia kati ili kudhibiti bei ya mafuta, wakionya kuwa ongezeko la bei…
David Keter, anayejulikana kama Dollarline, amechaguliwa kupeperusha bendera ya chama cha UDA katika uchaguzi mdogo wa ubunge wa Emurua Dikirr. Keter alipata…
Gavana wa Kaunti ya Narok, Patrick Ntutu, ameahidi kuwa serikali ya kaunti itashughulikia matatizo ya wananchi waliofurushwa kutoka msitu wa Mau mwaka…
Waziri wa Ardhi Alice Wahome amesema usajili wa shamba la Olkiombo lenye ekari 4,700 lililoko ndani ya Hifadhi ya Wanyama ya Maasai…
Wanachama wa Kamati ya Bunge ya Makazi, Mipango ya Miji na Kazi za Umma wataanza ziara ya siku nne kuanzia Jumatano, 27…