Kuwasilishwa kwa ripoti ya kamati ya Mazungumzo

Ripoti ya Kamati ya Mazungumzo ya Kitaifa Yawasilishwa kwa Rais Ruto na Raila Odinga.

Kiongozi wa Taifa, Rais William Ruto, amepokezwa ripoti ya Kamati ya Mazungumzo ya Kitaifa katika katika Ikulu ya Nairobi siku ya Ijumaa. Viongozi wa kamati hiyo ya mazungumo ya kitaifa wakiongozwa na Kiongozi wa wengi katika bunge la taifa Kimani Ichungwa na…

Tume ya JSC

JSC Yaanzisha Mchakato wa Kumwondoa Kazini Jaji Mohammed Noor Kullow.

Tume ya Huduma za Mahakama nchini (JSC) imeanzisha mchakato wa kumwondoa Jaji Mohammed Kullow wa Mahakama ya Mazingira na Arthi, kwa madai ya kuchelewesha na kushindwa kutoa maamuzi katika kesi 116. Katika taarifa iliyotolewa siku ya Jumatano 6.03.2024, JSC imethibitisha kwamba Jaji…

Gavana wa Samburu Jonathan Lelelit ahojiwa na makachero wa DCI mjini Nakuru.

Gavana wa Samburu Jonathan Lelelit amehojiwa na makachero wa DCI mjini Nakuru kuhusu mashambulizi ya mara kwa mara yanayoshuhudiwa katika kaunti ya Samburu. Hii ni mara ya pili chini ya mwezi mmoja kwa gavana huyo kuhojiwa kuhusiana na ujangili unaoendelea katika kaunti…

Rais afungua bunge la EALA

Jumuiya ya EAC Itaunga Mkono Azma ya Raila Odinga Kuwa Mwenyekiti wa AU.

Kiongozi wa taifa rais William Ruto, ametoa wito kwa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kuunga mkono azma ya kinara wa Muungano wa Azimio la Umoja Raila Odinga, katika kugombea nafasi ya kuwa mwenyekiti wa Muungano wa Afrika (AU) Akilihutubia Bunge la Afrika…

Maseneta wa Azimio

Maseneta wa Azimio Walalamikia Mapendeleo Kwenye Shughuli za Bunge la Seneti.

Maseneta wa mrengo wa walio wachache katika Bunge la Seneti wameeleza wasiwasi wao kuhusu kile walichokitaja kama “utekaji nyara” wa shughuli za bunge hilo na viongozi wakuu wa serikali. Katika kikao na waandishi wa habari siku ya Jumatatu baada ya kukamilisha kikao…

HAITI

Rais Ruto na Waziri Mkuu Ariel Henry wajadili Usaidizi wa Kurejesha Amani Haiti.

Rais William Ruto amekutana na Waziri Mkuu wa Haiti, Ariel Henry, katika Ikulu ya Nairobi Alhamisi 29.02.2024, kujadili mipango ya ushirikiano kati ya Kenya na Haiti. Kikao hicho kilihudhuriwa na pande zote mbili kwa lengo la kufanikisha mpango wa serikali ya Kenya…

AU ASPIRANT RAILA ODINGA

Sijaenda Popote, Raila Aahidi Kuendeleza Shughuli Zake Nchini Hata Akichaguliwa AU

Kinara wa muungano wa Umoja Raila Odinga ametoa ahadi ya kuzidi kushirikiana na viongozi wenza wa muungano wa Azimio, hata endapo atachaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Muungano wa Afrika (AU). Kwenye hotuba yake kwa viongozi, wawekezaji, na wageni waliohudhuria kongamano la kimataifa la…

Mzozo mpya wanukia Meru kufuatia malalamishi mapya dhidi ya Gavana Kawira Mwangaza.

Kaunti ya Meru kwa mara nyingine imegonga vichwa vya habari kufuatia mzozo mpya unaonukia baada ya Naibu Gavana wa kaunti hiyo Isaac Mutuma kutoa malalamishi mapya dhidi ya Gavana Kawira Mwangaza. Mutuma amejitokeza na kudai kuwa Gavana Mwangaza anamtaka ajiuzulu kama naibu…