Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kuzuru Marekani kwa ziara rasmi.

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amekwenda Marekani, katika ziara ya kwanza ya kiserikali tangu Rais Joe Biden alipoingia madarakani. Uhusiano baina ya marais hao ulianza kwa kusuasua, hadi kufikia hatua ya Ufaransa kumrudisha nyumbani balozi wake mjini Washington baada ya Marekani kuipiku…

Mazungumzo ya amani ya mashariki mwa DRC yafanyika jijini Nairobi.

Mazungumzo yanayolenga kuleta amani mashariki mwa DRC yamefanyika jijini Nairobi ambapo viongozi mbalimbali walihudhuria mazungumzo hayo ili kutafuta suluhu ya kudumu. Viongozi kutoka jumuiya ya kikanda, Jumuiya ya Afrika Mashariki wanajaribu kuharakisha juhudi zinazoendelea za kikanda ili kufikia amani na usalama endelevu…

DR Congo kufanya uchaguzi wa rais mwezi Disemba mwaka ujao.

Tume ya taifa ya uchaguzi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imesema uchaguzi mkuu nchini humo utafanyika Desemba 20, 2023, licha ya kuzorota kwa usalama mashariki mwa nchi hiyo. Tangazo la tume hiyo, CENI lililotolewa hii leo limekuja wakati waasi wakiendeleza harakati…

Rais wa FIFA Gianni Infantino akemea ukosoaji unaoelekezwa kwa Taifa la Qatar.

Rais wa shirikisho la kandanda duniani FIFA Gianni Infantino, amejibu ukosoaji unaotolewa kwa Qatar kuhusu madai ya ukiukwaji haki za binaadam akisema huu ni unafiki wa mataifa ya Magharibi. Infantino ameyasema hayo siku moja kabla ya ufunguzi wa mashindano ya Kombe la…

Uhuru Kenyatta

Congo DR: Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta atoa wito wa mazungumzo ili kupata amani.

Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta amewaomba wapiganaji katika maeneo tofauti ya taifa la Congo DR, kukumbatia njia mbadala za kutatua tofauti zao, na kusitisha mapigano yanayoendelea katika taifa hilo. Uhuru alikua akizungumza baada ya kuhudhuria kikao cha mashauriano na kutafuta njia za kurejesha…

Biden COP27

Joe Biden awasili katika kikao cha COP27 nchini Misri.

Rais wa Marekani Joe Biden hii leo amewasili kwenye mji wa mwambao wa Sharm el-Sheikh nchini Misri kuhudhuria mkutano wa kilele wa Mabadiliko ya Tabianchi wa COP27 unaotafuta makubaliano ya kudhibiti taathira za kuongezeka kwa kiwango cha joto duniani. Wajumbe wa mkutano…

Jimbo la Tigray lakanusha madai ya kupokea msaada wa kibinadamu.

Serikali ya Ethiopia imedai kwamba jeshi la nchi hiyo linadhibiti asilimia 70 ya jimbo la Tigray na kuweka wazi kuwa msaada unatumwa kwenda kwenye eneo hilo. Taarifa hiyo imetolewa na mshauri wa usalama wa taifa wa Ethiopia Redwan Hussein aliyesema kwamba magari…

Uwanja wa ndege wa Bukoba nchini Tanzania wafunguliwa tena kufuatia ajali ya ndege iliyogharimu maisha ya abiria 19

BY ISAYA BURUGU/BBC,10,NOV 2022-Uwanja wa ndege wa Bukoba kaskazini – magharibi mwa Tanzania umefunguliwa tena kufuatia ajali iliyosababisha vifo vya watu 19. Ndege hiyo ya abiria ilianguka katika Ziwa Viktoria ilipokuwa ikijaribu kutua kwenye uwanja huo Jumapili iliyopita.Afisa utawala katika mji huo…