Ufaransa yatuma maafisa wake kwa uchunguzi nchini Tanzania kuhusu chanzo cha mkawa wa ndege ziwa Victoria

BY ISAYA BURUGU/BBC ,09,NOV 2022-Serikali ya Ufaransa kupitia ubalozi wake jijini Dar Es Salaam imetangaza kutuma kikosi cha maafisa na wataalamu wa uchunguzi na uchambuzi wa masuala ya usalama wa ndege kusaidia uchunguzi wa chanzo cha ajali ya ndege ya Precision Air…

CO27

Viongozi wapendekeza hatua za kudhibiti ongezeko la joto duniani.

Viongozi wa mataifa mbalimbali wanaohudhuria mkutano kuhusu mabadiliko ya tabianchi wametoa mapendekezo juu ya hatua kali zinazotakiwa kuchukuliwa kudhibiti ongezeko la joto duniani.Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres pamoja na Waziri Mkuu wa Barbados Mia Mottley wamesema wakati umewadia kwa…

Papa Francis

Papa Francis apeleka ujumbe wa kuhimiza majadiliano Bahrain.

Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis, anapeleka ujumbe wake wa “uwepo wa majadiliano” kwa ulimwengu wa kiislamu nchini Bahrain, ambako serikali hiyo inayoongozwa na madhehebu ya wasuni imeandaa mkutano wa kidini unaohimiza utangamano kati ya mataifa ya Mashariki na Magharibi, licha…

Ned Price

Marekani yahofia kuwa Rwanda inawaunga mkono M23.

Marekani imeelezea wasiwasi wake kwamba taifa la Rwanda linawaunga mkono waasi wa kundi la M23 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kujiunga na miito ya Umoja wa Mataifa inayotaka amani idumishwe tena. Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Marekani…

Elon Musk anunua Twitter

Elon Musk akamilisha ununuzi wa Twitter

Bilionea Elon Musk amekuwa mmiliki mpya wa kampuni ya mtandao wa kijamii wa Twitter, na ameanza kazi kwa kuwaondoa wakurugenzi wakuu wa kampuni hiyo. Watu walio karibu na kampuni hiyo wamearifu kuwa waliotimuliwa ni pamoja na mkurugenzi mkuu Parag Agrawal, mkuu wa…

UN Security Assembly

VITA VYA UBABE |Mataifa ya Magharibi na Urusi yazozana katika mkutano wa Baraza la Usalama la UN.

Marekani na washirika wake wa magharibi kwenye baraza la usalama la Umoja wa Mataifa, wamesisitiza kwamba katibu mkuu wa umoja huo Antonio Guterres ana haki ya kuchunguza iwapo Urusi ilitumia ndege zisizokuwa na rubani za Iran kuwashambulia raia na mitambo ya umeme…

Haiti Cholera

Ugonjwa wa Kipindupindu warejea tena Haiti, UN ikieleza wasiwasi wa msambao wa kasi.

Umoja wa Mataifa umeonya kuwa mlipuko wa kipindupindu nchini Haiti unaenea kwa kasi, huku idadi ya maambukizi ikiongezeka maradufu na kufikia wananchi wapatao 2,000 katika muda wa siku chache zilizopita. Wizara ya afya nchini Haiti imeripoti angalau vifo 41 kati ya Oktoba…

CO27

EU kutafuta msimamo wa pamoja kabla ya mkutano wa COP27.

Mataifa ya Umoja wa Ulaya yanapania kukubaliana kuhusu msimamo wao wa pamoja, katika mazungumzo ya Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya tabia nchi, ikiwemo suala linaloleta mvutano la fidia ya fedha kwa uharibifu unaosababishwa na mabadiliko ya tabia nchi katika mataifa masikini…