wfp somalia

UN, WFP waomba msaada kukabiliana na njaa nchini Somalia.

Umoja wa Mataifa umesema kwamba msaada wa kimataifa wa chakula kwa taifa la Somalia ndiyo sababu pekee iliyopunguza hatari ya njaa katika taifa hilo linalozongwa na machafuko. Hata hivyo shirika la Mpango wa Chakula Ulimwenguni la umoja huo WFP, limetahadharisha kwamba ikiwa…

Janga la covid-19 ni mojwapo ya masuala yanayorejesha nyuma juhudi za kuimarisha sekta ya afya.

Shirika la afya duniani WHO limesema janga la covid-19 pamoja na vita na migogoro ni masuala yaliyorudisha nyuma juhudi za kuimarisha afya na ustawi wa wanawake pamoja na watoto. Kwa mujibu wa data za WHO zilizowasilishwa katika mkutano wake wa kilele mjini…

Anthony Blinken

Marekani Kuendelea kuipiga Jeki Ukraine kwa silaha zaidi.

Serikali ya Marekani imetangaza hatua ya kupeleka silaha zaidi Ukraine zilizo na thamani ya Yuro milioni 725. Kulingana na taarifa kutoka katika Ikulu ya White House silaha hizo ni pamoja na mifumo ya makombora ya masafa marefu ya HIMARS, magari ya kivita…

Watu 12 wauwawa kwa katwakatwa kwa mapanga katika kijiji kimoja Mashariki mwa DRC.

Watu wanaodaiwa kuwa wanamgambo wamewaua watu 12 kwa kuwakatakata kwa mapanga katika kijiji kimoja Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, eneo ambalo kwa miaka mingi limekuwa likikumbwa na machafuko kutoka kwa makundi yaliyojihami kwa silaha. Akizungumza na shirika la habari la…

Nchi 26 za Afrika zapiga kura kuunga mkono azimio la Umoja wa Mataifa la kupinga kura za maoni zenye utata wa Moscow katika mikoa minne ya Ukraine.

Nchi 26 za Afrika zilipiga kura kuunga mkono azimio la Umoja wa Mataifa la kupinga kura za maoni zenye utata wa Moscow katika mikoa minne ya Ukraine ambayo ilitangaza kuwa ni sehemu ya Urusi. Nchi 19 hazikupiga kura hiyo, ikiwa ni pamoja…

Wakaazi wa eneo la Amhara nchini Ethiopia wamewashutumu wapiganaji kutoka eneo la Tigray kwa unyanyasaji ikiwa ni pamoja na mauaji ya kiholela.

Wakaazi wa eneo la Amhara nchini Ethiopia ambalo lilichukuliwa tena na wanajeshi wa serikali hivi karibuni wamewashutumu wapiganaji kutoka eneo la Tigray kwa unyanyasaji ikiwa ni pamoja na mauaji ya kiholela. Wilaya ya Raya Kobo ilishikiliwa kwa wiki tano na vikosi vya…

Ujerumani yarejea katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa

By Isaya Burugu/DW,Oct 12,2022-Ujerumani imerejea katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, baada ya kuchaguliwa katika Baraza Kuu la umoja huo jana jioni. Nchi nne za Afrika; Sudan, Algeria, Moroko na Afrika Kusini pia zimechaguliwa. Kura hiyo ya siri…

Rais wa Angola Joao Lourenco alaani mashambulizi ya Urusi nchini Ukraine.

Rais wa Angola João Lourenço alifanya mazungumzo ya simu na rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ili kujadili hali ya mzozo nchini Ukraine.Kupitia mtandao wa twitter,rais wa Ukraine alisema walijadili masuala ya ushirikiano ndani ya Umoja wa Mataifa. Had a phone call with…