BY ISAYA BURUGU,10TH MARCH,2023-Kamati ya bunge kuhusu leba hivi le imeandaa kikao na Waziri wa ardhi ,katibu wa wizara hiyo Pamoja na tume ya ardhi humu nchini.

Kikao hicho kinatazamiwa kutoa mwelekeo kuhusu uboreshwaji wa hati miliki kidigitali Pamoja na ulipaji fidia kubisha ujenzi wa miradi ya serikali nchini. Kikoa hicho kinandaliwa mjini Mombasa.

Hata hivyo swala la ulipaji fidia ndilo kizungumkuti kwa wengi huku wenyeji na wahusika wakilalama kuwa ulipaji fidia hiyo inachukua muda mrefu.

Kwa mfano waliotoa ardhi kujenga  reli ya kisasa ya SGR na ule muradi wa Dongo kundu bado hawajalipwa fidia.Huyu hapa Mbunge wa Kaloleni Paul Katana ambaye ni mwanachama wa kamati hiyo.

 

March 10, 2023